Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde baada ya m,azungumzo yao Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde wakiangalia ngoma za utamaduni wakati akimsindikiza baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja Uwanja wa Ndege wa Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde wakati akimsindikiza mgeni wake huyo baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia kumuaga Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...