Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi  Anthony Sanga akitoa maelezo ya kina juu ya  mradi wa Maji ya Ziwa vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega aliouzindua mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,
Wazir wa Maji Mhe. Juma Awesu na Balozi Mdogo wa India Nchini Mhe. R.
Chandramouli  (kati) wakimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi
 Anthony Sanga akitoa maelezo ya kina juu ya  mradi wa Maji ya Ziwa
vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega aliouzindua mjini Tabora
leo Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
na Balozi mdogo wa India nchini Mhe. R. Chandramouli wakifurahia wimbo
wa wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi la Tabora wakati  wakitumbuiza
katika mkutano wake wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa michezo wa
Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Awesu na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Mhandisi Anthony Sanga   akiukagua baada ya kuzindua mradi wa Maji ya
Ziwa vicktoria kwa miji ya Tabora, Igunga na Nzega mjini Tabora leo
Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
na jukwaa kuu wakifurahia wimbo wa wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi
la Tabora  wakati  wakitumbuiza katika mkutano wake wa hadhara na
wananchi katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora
leo Jumamosi Januari 30, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt John Pombe Magufuli
akitoka kuwapongeza wanakwaya wa Chuo cha Utumishi tawi la Tabora
waliomkuna kwa nyimbo nzuri wakati  wakitumbuiza katika mkutano wake
wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa michezo wa Ali Hassan Mwinyi
mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwasili  katika mkutano wake wa hadhara na wananchi katika Uwanja wa
michezo wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora leo Jumamosi Januari 30,
2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa mkoa wa Tabora katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo tarehe 30 Januari 2021 mara baada ya kuzindua mradi wa maji ya kutoka ziwa Victoria pamoja na jengo la huduma kwa wagonjwa wa dharura.




Kwaya ya Chuo cha Utumishi Tabora wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akihutubia katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo tarehe 30 Januari 2021 mara baada ya kuzindua mradi wa maji pamoja na jengo la huduma kwa wagonjwa wa dharura.

 

 

Kwaya ya Chuo cha Utumishi Tabora wakiimba Wimbo maalumu mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo tarehe 30 Januari 2021 mara baada ya kuzindua mradi wa maji pamoja na jengo la huduma kwa wagonjwa wa dharura. PICHA NA IKULU


Wanafunzi wa Chuo cha Utumishi Tabora wakifurahia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipopita kuwaaga mara baada ya kuhutubia wananchi katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora leo tarehe 30 Januari 2021

 

PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...