Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa iliyoswalishwa na Sheikh Khalid Ali Mfaume (mbele) katika  Masjid   Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini wakati alipowasili katika masjid hiyo leo kushiriki sala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 01/01/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husseinn Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu   mara baada ya Swala ya Ijumaa katika  Masjid   Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 01/01/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislamu   mara baada ya Swala ya Ijumaa katika  Masjid  Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 01/01/2021.

Waumini wa  Dini ya Kiislamu  wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo mara baada ya Swala ya Ijumaa katika  Masjid  Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 01/01/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Imam Sheikh Omar Abeid wa  Masjid Afra Binti Issa Kidongochekundu Wilaya ya Mjini wakati alipowasili katika Masjid hiyo leo kushiriki sala ya Ijumaa.[Picha na Ikulu] 01/01/2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...