Wakala wa misitu Tanzania wameipongeza kamati ya Miss Tanzania na kuandaa trip ya kwenda kutembele kivutio cha misitu asili cha Pugu kazimzumbwi kilichopo Kisarawe ambapo warembo hao wa Miss Tanzania walifurahia maajabu ya kivutio hicho ikiwemo kuona wadudu aina ya panzi wenye bendera ya Tanzania
@misstanzaniaorganisation @tanzania_forest @tanzania_unforgettable
#pugukazimizumbwi

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...