Mshindi wa kwanza #PataPataNaTigoPesa atokea Dodoma: “Mathias January ndiye mshindi wetu wa milioni 5” Lumuliko Mengele-Meneja utendaji wa The Network Limited
FUNGA MWAKA NA MILIONI 10 #PataPataNaTigoPesa: Tigo na Kampuni ya The Network yachezesha droo ya washindi Jumla ya Tsh Milioni 10. Washindi wawili kushinda milioni 5 kila mmoja.
SHIRIKI USHINDE: Kushiriki mchezo #PataPataNaTigoPesa, mteja anatakiwa kwenda kwenye menu ya Tigo Pesa na kuchagua namba 4-Lipa bili, halafu anaingia namba 7-Michezo, anachagua namba 1-PataPata, na kuingiza namba za boksi alizochagua kati ya 1 hadi 6, vilevile atakatwa sh. 300. Baada ya hapo atapata majibu kama ameshinda na zawadi yake itaingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa. #Droo #PataPataNaTigoPesa
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...