Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Jose Canhandula akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene na Katibu Mkuu wa wizara hiyo,Christopher Kadio(katikati),alipofika ofisini kwa waziri jijini Dodoma,leo kujadili masuala mbalimbali yanayohusu wakimbizi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza wakati wa kikao kilichomuhusisha Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Jose Canhandula(wapili kulia),Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Christopher Kadio na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Sudi Mwakibasi(kulia).Kikao hicho kilichohusu masuala mbalimbali ya Wakimbizi kimefanyika ofisini kwa waziri,leo jijini Dodoma. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...