Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa kwanza kulia) akizungumza na viongozi na watendaji wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) jijini Dar es Salaam alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa kwanza kulia) akizungumza na viongozi na watendaji wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) jijini Dar es Salaam alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo.
Baadhi ya viongozi na watendaji wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), wakiongozwa na Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Eng. Chrispianus Ako (wa kwanza kulia) wakifuatilia maelekezo ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (hayupo pichani) alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo.
Mkurugenzi wa Miradi wa TANROADS, Eng. Chrispianus Ako (kushoto) akitoa taarifa fupi ya utendaji wa taasisi hiyo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (kulia) alipofanya ziara TANROADS.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (wa kwanza kushoto) akizungumza na viongozi na watendaji wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania jijini Dar es Salaam alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) Mhandisi Prof. Ninatubu Lema (aliye simama) akitoa taarifa fupi kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania(ERB) Mhandisi Prof. Ninatubu Lema akitoa taarifa fupi kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (kushoto) alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi akifuatilia.
Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi (wa kwanza kulia) akitoa taarifa ya utendaji kwa ujumla wa taasisi hiyo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania(ERB) Mhandisi Prof. Ninatubu Lema (katikati) akimkabidhi kitambulisho kipya cha uanachama wa ERB Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya (kushoto) alipofanya ziara kutembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania, Injinia Patrick Barozi akifuatilia tukio hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...