
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na Menejimenti na watendaji wa Wizara hiyo (hawapo pichani) katika mafunzo ya uongozi kwa Menejimenti ya Wizara hiyo, jijini Dodoma, wa kwanza kulia ni Naibu wake, Mhandisi Kundo Mathew akifuatiwa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndenjembi, kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndenjembi akizungumza katika mafunzo ya uongozi kwa Menejimenti na watendaji wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yanayofanyika jijini Dodoma, wa pili kulia ni Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Faustine Ndugulile na Kushoto ni Naibu wake Mhandisi Kundo Mathew na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt Zainab Chaula.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...