ALIYEKUA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameshiriki shughuli ya kumuaga aliyekua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Makonda aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mwaka 2016 na Dk John Magufuli ambapo swali alikua ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...