Mama Fatma Karume, Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar marehemu Mzee Abeid Amani karume, akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa
aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika
Uwanja wa Amaan mjini Unguja leo Jumanne Machi 23, 2021

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...