Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga (kulia)
akikabidhi nyaraka za makabidhiano ya ofisi kwa Katibu Mkuu mpya wa
Sekta hiyo, Mhandisi Joseph Malongo, katika Ofisi za Wizara hiyo
zilizopo Mtumba jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Malongo , akitoa maelekezo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Sekta ya Ujenzi mara baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Sekta ya hiyo, Arch. Elius Mwakalinga (Kulia), kwenye Ofisi za Wizara hiyo, zilizopo Mtumba jijini Dodoma.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga (kulia), akimuonesha baadhi ya nyaraka Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Malongo, wakati akimkabidhi ofisi, Mtumba jijini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi), wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (hayupo pichani), wakati akitoa maelekezo katika kikao cha kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Sekta hiyo, Mtumba jijini Dodoma.
PICHA NA WUU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...