Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza na Naibu Waziri wake Mhe. Deogratius Ndejembi na Katibu Mkuu-UTUMISHI, Dkt. Laurean Nbumbaro (kulia) mara baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi yake iliyopo Mtumba kwenye Mji wa Serikali.

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake mara baada ya kuapishwa na kuwasili ofisini hapo ili kuanza kazi rasmi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa akisalimiana na baadhi ya watumishi wa ofisi yake alipowasili na kupokelewa na watumishi hao katika ofisi ya Mtumba iliyopo Mji wa Serikali mara baada ya kuapishwa Ikulu ya Chamwino Dodoma. Walioambatana nae ni Naibu Waziri wake Mhe. Deogratius Ndejembi na Katibu Mkuu-UTUMISHI, Dkt. Laurean Ndumbaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...