Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick alipokutana naye Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatatu
Aprili 19, 2021Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkaribisha Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
leo Jumatatu Aprili 19, 2021




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...