RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa
Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa
Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya
Taasisi hiyo ambae pia ni Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe.Mgeni Hassan Juma na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bi. Tabia
Makame Mohammed, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Wajane Zanzibar.(ZAWIO) Naibu Spika wa Baraza la
Wawakilishi Mhe. Mgeni Hassan Juma, wakati wa mkutano wake na Uongozi wa
Taasisi hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na
(kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Bi. Tabia Makame
Mohammed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wajane Zanzibar (ZAWIO) Bi. Tabia Makame Mohammed,(kulia kwa Rais) wakati walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...