Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, David Concar(kulia), walipokutana kwa mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara,jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi
wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akizungumza na Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), walipokutana kwa
mazungumzo leo katika Makao Makuu ya wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...