Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja kwa njia ya
kusalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar
alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa
Uingereza nchini Tanzania, Mhe. David Concar alipomtembelea leo ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini
Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Mhe. Frederic Clavier alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...