Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula akiwasili katika Ofisi za Wizara zilizopo Mtumba jijini Dodoma muda mfupi baada kula kiapo cha kutumikia nafasi hiyo. Mhe. Balozi Mulamula na Naibu wake Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk wamepokelewa na Watumishi na Wakuu wa Idara na Vitengo wakiongozwa Katibu Mkuu Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi
Liberatha Mulamula akikaribishwa Wizarani muda mfupi baada ya kula kiapo
cha kutumikia nafasi hiyo |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akikaribishwa Wizarani muda mfupi baada ya kula kiapo cha kutumikia nafasi hiyo. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi
Liberatha Mulamula akiongea na Watumishi na Menejimenti ya Wizara
(hawapo pichani) mara baada ya kuwasili Wizarani |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberatha Mulamula akisaini kitabu cha wageni alipowasili Wizarani |
Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi
Mbarouk Nassor Mbarouk akisaini kitabu cha wageni alipowasili Wizarani |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...