Meneja Mauzo kampuni ya D.Light Kanda ya Kati, Noel Maktauwa (kushoto) akimkabidhi Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi taa inayotumia umeme wa nguvu ya jua, mara baada ya Naibu Waziri huyo kuzindua rasmi duka la kampuni hiyo lililopo eneo la barabara ya Nyerere Jijini Dodoma


Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi akikata Keki mara baada ya uzinduzi wa duka la D Light jijini Dodoma.


Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi (kushoto ) akikata utepe kuzindua duka jipya la kisasa la kampuni ya D.Light Kanda ya Kati Jiji Dodoma. Kushoto kwake ni Meneja Mauzo kampuni ya D Light Kanda ya Kati, Noel Maktauwa.


Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi akipata maelezo toka kwa mfanyakazi wa D Light namna vifaa vya uzalishaji wa Umeme wa Jua vinavyofanya kazi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...