Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo, leo tarehe 22 Mei 2021 ametembelea na kusalimia Wahariri wa Vyombo vya Habari ambao wamekutana Morogoro kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania.#Kaziinaendelea



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...