Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CCM na Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye akimnadi mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Muhambwe, Dkt Florence Samizi kwenye mkutano uliofanyika jimboni humo leo Mei 12, 2021.



Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CCM na Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye akisakata rhumba na mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Muhambwe, Dkt Florence Samizi wakati alipomnadi kwenye mkutano uliofanyika jimboni humo leo Mei 12, 2021.



Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa CCM na Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na wapiga kura wa Jimbo hilo mara baada ya kumnadi mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Muhambwe, Dkt Florence Samizi kwenye mkutano uliofanyika jimboni humo leo Mei 12, 2021.



Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo uliofanyika leo jimboni humo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...