Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali wakifuatilia  fainali za Mashindano ya Kimataifa   ya Quran Tukufu kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jublee jijini Dar es salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Abubakar Kunenge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam salaam kuwa Mgeni Rasmi katika Fainali za Mashindano ya Kimataifa ya Quran Tukufu, Mei 2, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...