Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania,  Abubakar Zubeir Ally katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye  Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Sheikh wa mkoa wa Dar  es salaam, Alhad  Mussa Salim katika Swala ya Eid iliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.

 

Kadhi Mkuu, Sheikh Ali Muhiddini Mkoyogole akiongoza Swala ya Eid  kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.  Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa alishiriki katika Swala hiyo.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Mei 14, 2021.  Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi  wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa , wa nne kulia ni Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir Ally na wa pili kulia ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad  Mussa Salim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...