Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na kuzungumza na Askofu Mkuu Msataafu wa Jimbo Kuu la Dar es salaam Kardinal Poycard Pengo wakati alipomtembelea Ofisini kwake katika Kanisa la S.T Georseph Jijini Dar es Salaam leo Mei 07,2021.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...