
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza Mamadou Sakho akiwa na Mkewe. Majda Sakho,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yalionyika katika ukumbi wa Ikulu leo 1-6-2021.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza. Mamadou Sakho akiwa na mkewe Majda Sakho, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza Mamadou Sakho akiwa na mkewe Majda Sakho, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana mgeni wake mchezaji wa Kimataifa wa Timu ya Crystal Palace ya Uingereza, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...