RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Matar Zahro Matar, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba akiwa katika ziara ya Siku mbili Kisiwani Pemba na (kulia kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali walipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, akiwa Kisiwani Pemba kwa ziara ya Siku mbili.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba kwa ajili ya ziuara ya Siku mbili Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...