Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa
Uganda Yoweri Museveni wakiwa wameshika nyaraka za Tamko la pamoja
kuhusu utekelezaji wa pamoja wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la
Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga
(Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na
Rais wa Uganda Yoweri Museveni wamkisikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula wakati akisoma
maazimio ya Tamko la Pamoja kuhusu utekelezaji wa pamoja wa Ujenzi wa
Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi
Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar
es Salaam
Rais
wa Uganda Yoweri Museveni akitia saini mkataba wa Tamko la Pamoja kati
ya Tanzania na Uganda kuhusu utekelezaji wa pamoja Ujenzi wa Bomba la
Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane
Tanga (Tanzania) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitia
saini mkataba wa Tamko la Pamoja kati ya Tanzania na Uganda kuhusu
utekelezaji wa pamoja Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika
Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania) katika
hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Uganda Yoweri Museveni akishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Nchi
hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki kutoka
Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)katika hafla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia
utiaji saini wa Mkataba wa Nchi hodhi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta
Ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga
(Tanzania)katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni wakati wa
nyimbo za Mataifa mawili ya Tanzania na Uganda zikipigwa katika viwanja
vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara
baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo
tarehe 20 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni mara
baada ya kuwasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo
tarehe 20 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na
Viongozi Wakuu wa Vyombo ya Ulinzi na Usalama mara baada ya hafla ya
utiaji saini Mkataba wa nchi hodhi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la
Afrika Mashariki la kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga
(Tanzania). PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya kumbukumbu na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni pamoja
na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya hafla ya
utiaji saini Mkataba wa nchi hodhi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la
Afrika Mashariki la kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga
(Tanzania)
Makamu
wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akipiga makofi pamoja na viongozi
wengine wa ndani na nje ya Nchi mara baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na viongozi mbalimbali pamoja na Wanahabari waliohudhuria hafla ya
utiaji saini wa Mkataba wa nchi hodhi wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi
la Afrika Mashariki la kutoka Hoima (Uganda) hadi Chongoleane Tanga
(Tanzania)
Rais
wa Uganda Yoweri Museveni akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na
Wanahabari waliohudhuria hafla ya utiaji saini wa Mkataba wa nchi hodhi
wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki la kutoka Hoima
(Uganda) hadi Chongoleane Tanga (Tanzania)
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI PAMOJA NA KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA NCHI HODHI WA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...