Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Marehemu Teddy  Hollo Mapunda  katika ukumbi wa Karimjee mkoa wa Dar es Salaam leo Mei 09, 2021. .(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa marehemu eddy  Hollo Mapunda katika ukumbi wa Karimjee mkoa wa Dar es Salaam leo Mei 09, 2021.Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Kate Kamba (kushoto) na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Aboubakar Kunenge wakitoa  Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Marehemu Teddy  Hollo Mapunda  katika ukumbi wa Karimjee mkoa wa Dar es Salaam leo Mei 09, 2021.Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro  akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa Marehemu  Teddy  Hollo Mapunda  katika ukumbi wa Karimjee mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 09 Mei, 2021.Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,Gerson Msigwa akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa marehemu Teddy  Hollo Mapunda katika ukumbi wa Karimjee mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 09 Mei, 2021.Mwigizaji na Mchekeshaji Steven Mengere a.k.a 'Steve Nyerere' akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa marehemu Teddy  Hollo Mapunda katika ukumbi wa Karimjee mkoa wa Dar es Salaam leo tarehe 09 Mei, 2021.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)






 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...