RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumaliza kuzungumza na baadhi ya Masheikh wa Zanzibar waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia na (kulia) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana
na baadhi ya Masheikh waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kumsalimia, baada
ya kutoka katika Sala ya Eid El Fitry, iliofanyika katika viwanja vya
Maisara Suleiman Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...