Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako ( wa pili kushoto) wakipata maelezo kutoka Mhadhiri Mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Paul Onyango (kushoto) kuhusu uzalishaji wa vifaranga vya kambale katika Maadhimisho ya Sita ya wiki ya Utafiti na Ubunifiu ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kwenye viwanja vya Maktaba Mpya ya Chuo Kikuu hicho jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Home
HABARI
TAARIFA
WIKI YA MAADHIMISHO YA SITA YA UTAFITI NA UBUNIFU YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...