Wakili Abia Richard kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC) akiwa na mtoto Mary Kibaha wakati maadhimisho siku ya ulinzi wa mtoto kimataifa ambayo kilele chake ni kesho Juni Mosi, 2021.
Watoto kutoka Kukaye moto culture  centre wakicheza sarakasi ktk maadhimisho ya siku ya ulinzi wa mtoto.
Askari polisi akiongoza watoto katika mbio "fun run" iliyoandaliwa katika maadhimisho ya siku ya ulinzi wa mtoto yaliyofanyika  Mei 30, 2021 katika viwanja vya Kijitonyama TTCL ground jijini Dar es Salaam. Kilele cha siku hiyo ni kesho Juni Mosi, 2021.

  

KATIKA kuadhimisha siku ya ulinzi wa mtoto kimataifa, Raising up foundation kwa kushirikiana na Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC) wamesherehea siku hiyo kwa kuwapatia watoto elimu mbali mbali za makuzi ikiwemo mabadiriko ya miili yao na utoaji wa taarifa pindi wanapofanyiwa vitendo vya ukatili huku pia wakishiriki mashindano ya mbio fupi za watoto " Children fun fun".

Maadhimisho hayo yamefanyika Mei 30, 2021 katika viwanja vua Kijitonyama TTCL Ground ambapo kilele chake kitakuwa kesho, Juni Mosi 2021.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...