Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango kwa Niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea mfano wa Hundi ya Shilingi 21.7 Bilioni sawa na ongezeko la asilimia 43 kwa mwaka 2020 Gawio la Serikali kutoka katika Benki ya NMB leo Juni 18,2021 Jijini Dodoma.
Home
BIASHARA
HABARI
BENKI YA NMB YATOA GAWIO LA SHILINGI BILIONI 21.7 KWA SERIKALI AMBALO NI ONGEZEKO LA ASILIMIA 43 KWA MWAKA 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...