Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania(Tawa) Meja Jenerali (Mst) Hamis Semfuko akikagua gwaride maalum la Askari Wanyamapori kikosi cha kuzuia Ujangili Kanda ya Kusini Songea wakati wa ziara ya wajumbe wa Bodi hiyo walipotembelea Bustani ya wanyamapori Ruhila iliyopo km 8 kutoka Songea mjini. Picha na Muhidin Amri
Home
HABARI
BODI YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMA PORI (TAWA) YATEMBELEA BUSTANI YA WANYAMA PORI RUHILA, SONGEA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...