KAMPUNI ya Cados inayojishughulisha na utengenezaji pamoja na usambazaji wa sabuni za matumizi ya majumbani pamoja, maofisini na magari wapo teyari kuwahudumia wananchini wote.

Sabuni hizo sabuni sa kufulia, sabuni za kusafishia vyoo, sabuni za vyombo, sabuni za kusafishia vyombo, shampuu, Sabuni za kusafishia Tiles pamoja na sabuni za kunawia mikono.

Akizungumza na Michuzi blog leo, Mwanzilishi wa kampuni ya Cados, amesema kuwa kwa upande wa sabuni za kufulia ni sabuni zuri na unaweza kufulia nguo zote, ikiwa na manukato mazuri amayo yanaka kwenye nguo kwa kipindi fulani na pia unaweza kutumia maji ya chumvi na yasiyo na chumvi.

Licha ya hilo, amesema kuwa sabuni ya kufulia haichubui mikono na wala haipaushi mikono mara baada ya kumaliza kufua.

"Nimeaanza kuuza hizi sabuni tangu 2018 mpaka leo sijapata malalamiko ya watumiaji wa sababu ninazotengeneza kuwa wanachubuka mikono au kupauka kwa namna yeyote ile." Amesema....

Amesema kuwa sabuni hizo anauza kwa rejereja pamoja na jumla na bei zake ni bei rahisi ukilinganisa na ubora wa sabuni hizo.

Kwa upande wa sabuni ya kusafishia chooni amesema kuwa sabuni hiyo inauwezo wa kuuwa vijidudu vilivyopo kwenye siki la choo pamoja na kusafisha kwani inanguvu mara mbili.

Kwa upande wa sabuni ya kufulia nguo nyeupe 'White wash' hii ni kwa ajili ya kulowekea nguo nyeupe tu, Inatakatisha na kuondoa madoa lakini haifai kwa nguo zenye rangi.

Sabuni ya vioo (Glass cleaner) hii ni sabuni nzuri kwa kusafishia vioo vya nyumbani, ofisini,magari na hata kuta zilizopakwa rangi ya mafuta.Ni sabuni inayosafisha aina yoyote ya uchafu katika kioo.

Kwa upande wa wa sabuni ya mikono (Handswash)  ni sabuni yenye manukato mazuri isiyochubua wala kupausha mikono na ina mapovu ya kutosha.

Na Sabuni ya vyombo (Dish wash) ni sabuni yenye kuondoa aina yoyote ya mafuta kwenye vyombo na kuondoa harufu kwenyee vyombo, Na pia haichi harufu katika vyombo, Sabuni kidogo mapovu ya kutosha.

Ukitaka bidhaa za Cados wasiliana nae kwa namba 0657567400.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...