Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt . Philip Mpango akikata utepe kuzindua andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani nchini yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akionyesha andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira  kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani nchini yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akibonyeza kitufe akizindua Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kampeni Kabambe ya Usafi Nchini kwenye Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Bi Mary Maganga andiko la kampeni kabambe ya kitaifa ya uhifadhi na usafi wa mazingira kwenye Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikagua bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na UNIDO wakati wa Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma

Mabalozi wa mazingira wakiwemo,wasanii,waandishi wa habari na waigizaji wakifutilia hotuba mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...