Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe.
Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha mada wakati wa Kongamano la
Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani
lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre
jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Viongozi mbalimbali, wadau na
washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya
Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi
wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mohammed Khamis Abdulla akifunga Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe.
Prof. Palamagamba Kabudi akiwasilisha mada wakati wa Kongamano la
Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani
lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre
jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
Washiriki wakifuatilia Kongamano la Mazingira ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani lililofanyika leo katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma leo Juni 4, 2021.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...