
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya Uangalizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aloyce Musika, akizungumza na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro.
Baadhi ya Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi wakiwa kwenye Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (aliyekaa katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Uangalizi, Aloyce Musika (wapili Kushoto), wakiwa kwenye picha ya Pamoja na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro. Mkutano huo ulihudhuriwa pia na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...