Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akizungumza na Waadishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam kuhusu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 na uwezekano wa kutokea kwa wimbi la tatu la maambukizi ya Ugonjwa wa UVIKO-19 Nchini.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...