Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimshukuru Mwenyekiti wa Kamati
Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona
Covid -19 Profesa Said Aboud alipokuwa akikabidhi mapendekezo ya Mpango
kazi wa kutafuta Rasilimali kwa ajili ya utekelezaji wa Mpango Mkakati
wa taifa wa kukabiliana na janga la ugonjwa wa Korona leo tarehe 04
Juni, 2021 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Kamati Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Korona Covid -19 leo tarehe 04 Juni, 2021 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...