RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na
Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh
Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Siku ya
Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya
Duniani.zilizofanyika katika ukumbi huo leo 26-6-2021..(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jukwaa
akipokea Maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga
Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizoadhimisha
Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
VIJANA wakishiriki katika
maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na
Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Viongozi wa Vyama
vya Siasa na Mawaziri wa SMZ, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo
pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya
Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, iliofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MWAKILISHI wa Waliopata Nafuu kutoka (Recovery Community Zanzibar) Ndg. Mikidadi Said Kassim akizungumza na kutowa salamu za waliopata nafuu na kuacha matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar, wakati Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa
Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Uratibu na
Kudhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar.Mhe. Hemed Suleiman Abdulla
akizunguma katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali
Mwinyi, kuhutubia hafla hiyo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika
hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na
Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizofanyika katika ukumbi wa
Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MKURUGENZI Mtendaji wa Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar Luteni Kanali Burhani Zuberi Nassor, akizungumza na kutowa Taarifa fupi ya Wiki ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...