Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga kufungua Jengo la Ofisi ya Benki Kuu ya Tanzania tawi la Mwanza katika sherehe zilizofanyika Jijini Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, Waziri wa Madini Doto Biteko, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kufungua Jengo la Ofisi ya Benki Kuu ya Tanzania tawi la Mwanza katika sherehe zilizofanyika Jijini Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021. PICHA NA IKULU

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...