Wajumbe
wa Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG) wakimpatia zawadi Bi. Nenelwa Mwihambi (wa pili kushoto) ya pongezi
kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika tukio lililofanyika
ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma. Mwenyekiti
wa Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG), Mhe. Shally Raymond (wa pili kushoto) akizungumza
wakati wa tukio la kumpongeza Bi. Nenelwa Mwihambi kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa
Bunge katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma. Katibu
wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akizungumza wakati wa tukio la kumpongeza kwa
kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini
Dodoma.
Wanawake Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimpatia zawadi ya pongezi Bi. Nenelwa Mwihambi (wa tatu kushoto) kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika tukio lililofanyika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.

PICHA NA BUNGE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...