Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima akimuapisha Mkuu wa wilaya ya Muheza Halima Bulembo kushoto leo, kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Pili Hassani
Mkuu wa mkoa wa Tanga Adam Malima kulia akimwapisha Basila Mwanukuzi kuwa mkuu wa wilaya ya Korogwe kwenye halfa iliyofanyika leo ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tanga
Mkuu wa mkoa wa Tanga Adam Malima kulia akimwapisha Basila Mwanukuzi kuwa mkuu wa wilaya ya Korogwe kwenye halfa iliyofanyika leo ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tanga
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...