Dkt. Orest Masue, Kaimu
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Shahada za Awali Chuo Kikuu Mzumbe, akitoa maelezo
kwa vijana walioonyesha nia ya kujiunga na mafunzo ya Elimu ya Juu
katika Chuo Kikuu Mzumbe wenye Maonyesho ya Vyuo Vikuu
yanayoendelea.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Bi.
Rose Joseph, akitoa maelezo kwa wahitimu wa kidato cha sita waliotembelea banda
la Chuo Kikuu Mzumbe kwenye Maonesho ya Vyuo Vikuu yanayoendelea kwenye viwanja
vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Maafisa Udahili wa Chuo Kikuu Mzumbe
wakitoa huduma ya udahili wa moja kwa moja (online registration) kwa waombaji
waliofika banda la Chuo Kikuu Mzumbe katika maonesho ya Vyuo Vikuu
yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi TV)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...