Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokutana na kwa mazungumzo na Uongozi wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji (ZIPA) pamoja na uongozi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi (kulia) leo amekutana kwa mazungumzo na Uongozi wa Mamlaka ya kukuza Uwekezaji (ZIPA) pamoja na Uongozi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/07/2021.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...