Jamaa Flani a.k.a Jflani

Msanii wa muziki mwenye asili ya nchini Kenya ambaye amekuwa akifanya Muziki kwa miaka kadhaa na kuelekeza talanta yake nchini Tanzania kwa kufanya kazi na watayarishaji wa muziki mahiri hapa nchini Tanzania hasa katika tasnia ya muziki wa Hip Hop kama vile Deey Classic pamoja na Q The Don.

Jamaa Flani a.k.a Jflani ni moja ya msanii mwenye mtazamo chanya sana katika muziki wake jambo ambalo linamfanya kuwa moja kati ya watu wanaopenda ubora zaidi katika kazi zake na kwa mara ya kwanza Jflani anakuletea kazi yake mpya ambayo anakiri kuifanya katika kiwango cha juu zaidi kuwahi kufanya wimbo unaitwa Nitakuwezaje akiwa amemshirikisha mrembo Icome na video kutayarishwa na kuongozwa na Director Simon SPK chini ya Nyasha Music.

Karibu kutazama wimbo huu mpya na kushare pamoja na marafiki na unaweza kuwa karibu zaidi na instagram ya @jflani ili kufahamu zaidi na zawadi zitatolewa kwa atakayekuwa makini zaidi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...