Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo akihutubia Viongozi wa Chama na Serikali katika Ukumbi wa Mkapa mara baada ya kuwasili mkoani Mbeya ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake akiwa ameongozana na Sekretarieti ya CCM Taifa. (Picha na CCM Makao Makuu).


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...