Mjasiriamali anaeuza chakula kwenye kituo cha Daladala Ubungo mkoa wa Dar es Salaam akiosha vyombo walivyotumia wateja wake ambao wanatoka maeneo mbalimbali jiji la Ilala kama anavyoonekana pichani (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wananchi wakindelea kujipatia mahitahi yao katika kituo cha Daladala Ubungo mkoa wa Dar es Salaam.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...