Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (Legal and Human Rights Centre - LHRC) kimetoa mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari (Media Laws) kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita.

Akizungumza wakati akifungua mafunzo hayo leo Jumatatu Julai 12, 2021 Jijini Mwanza, Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius amesema mafunzo hayo ya siku tatu yatawasaidia waandishi hao wa habari kuandika habari kwa weledi zaidi.

"Waandishi wa habari ni kundi muhimu sana katika jamii hivyo ni vyema wakawa na uelewa wa kutosha kuhusu masuala ya haki za binadamu lakini pia wawe na uelewa kuhusu sheria mbalimbali zinazohusu Tasnia ya habari ndiyo maana LHRC tunatoa mafunzo haya ili kulisaidia kundi hili",amesema Eligius.

Nao washiriki wa mafunzo hayo, wameiomba Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu kuziondoa sheria zote ama vipengele vya sheria vinavyolalamikiwa kubinya uhuru wa vyombo vya habari.

Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo Jumatatu Julai 12,2021 Jijini Mwanza. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius akizungumza wakati akifungua mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita
Mwezeshaji kutoka LHRC, Frida Eligius akizungumza kwenye mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari kwa waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita

Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ikiwemo Mwanza, Kagera, Mara, Shinyanga, Simiyu na Geita wakiwa kwenye mafunzo ya Haki za Binadamu na Sheria zinazohusu Tasnia ya Habari.

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...