
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Afya Mbuyu Maji Matemwe na (kushoto) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassoro Ahmed Mazrui, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu).

WANANCHI wa Kijiji cha Mbuyumaji Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kukifungua Kituo cha Afya Mbyumaji Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...