RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwenyekiti wa “Foundation of Humanitarian Initiative” ya UAE Bw.Ahmad Al Nazr Al Falasi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Mwenyekiti wa “Foundation of Humanitarian Initiative” ya UAE Bw.Ahmad Al Nazr Al Falasi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Home
HABARI
ZANZIBAR
RAIS WA ZANZIBAR DK. MWINYI AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA FOUNDATION OF HUMANITARIAN YA UAEU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...